-
Israel: Kukomboa mateka na kulinda roho za raia si kipaumbele chetu
Oct 20, 2023 03:20Waziri mmoja wa serikali yenye misimamo mikali ya Kizayuni amejigamba kuwa, suala la kukomboa mateka wa Israel na kulindwa roho za raia huko Ghaza, si kipaumbele kwa utawala wa Kizayuni.
-
Wasiwasi wa kimataifa kuhusu mgogoro wa kibinadamu Ukanda wa Ghaza
Oct 19, 2023 23:07Shambulio la utawala wa Kizayuni katika hospitali huko katika Ukanda wa Ghaza limelaaniwa na pande mbalimbali kimataifa.
-
Idadi ya mashahidi wa Palestina Gaza yapindukia 3500
Oct 19, 2023 11:17Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, zaidi ya Wapalestina 3,500 wameuawa shahidi na wengine zaidi ya 13,000 kujeruhiwa kutokana na hujuma na mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Holocaust Halisi Inafanyika Ukanda wa Gaza
Oct 19, 2023 04:08Juzi usiku utawala wa Kizayuni wa Israel ulifanya jinai isiyo na kifani kwa kushambulia Hospitali ya al-Ma'madani katika Ukanda wa Gaza kwa bomu lenye uzito wa tani moja na kuua shahidi raia karibu elfu moja na mia moja.
-
Shirika: Israel inaua watoto 100 wa Kipalestina kila siku
Oct 18, 2023 08:55Shirika moja la kutetea haki za binadamu lenye makao yake mjini Geneva Uswisi limesema kwa wastani utawala haramu wa Israel unaua shahidi watoto 100 wa Kipalestina katika kila saa 24 katika Ukanda wa Gaza.
-
Mauaji ya umati ya Wapalestina, mkakati wa utawala wa Kizayuni wa kufunika kushindwa kubwa
Oct 18, 2023 08:47Utawala wa Kizayuni ambao ulipata mshtuko mkubwa kwa kushindwa na kufedheheshwa kijeshi katika operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa, unatekeleza mauaji ya umati dhidi ya Wapalestina ili kufidia kushindwa huko.
-
Haniyeh: Marekani inabeba dhima ya jinai ya hospitali ya al-Maamadani
Oct 18, 2023 03:51Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Masuala ya Kisiasa ya Hamas, ameyachukulia mauaji ya hospitali ya al-Maamadani kuwa kielelezo cha kushindwa kwa fedheha kwa adui Mzayuni na akasema kwamba Wamarekani ambao wanatoa uungaji mkono usio na kikomo kwa adui huyo wanahusika moja kwa moja na jinai ya hospitali hiyo.
-
Al Azhar yawataka Waislamu kukabiliana na adui Mzayuni
Oct 18, 2023 02:46Chuo Kikuu cha Al Azhar cha nchini MIsri kimewataka Waislamu duniani kote kukabiliana kwa uwezo na nguvu zote na jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Shambulio la Israel dhidi ya hospitali Gaza laua watu 500; siku tatu za maombolezo zatangazwa
Oct 18, 2023 00:24Kwa akali watu 500 wameuawa shahidi huko Gaza Palestina kufuatia shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel, dhidi ya hospitali ya Al Ahli Arab.
-
HAMAS: Tutawaachia Waisraeli mkabala wa kuachiwa huru wafungwa 6,000 wa Kipalestina
Oct 18, 2023 00:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema iko tayari kuwaachia huru mateka wa Kizayuni iliowakamata katika Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa, mkabala wa utawala haramu wa Israel kuwaachia huru maelfu ya wafungwa wa Kipalestina.