-
Imran Khan akamatwa baada ya mahakama Pakistan kumhukumu kifungo cha miaka 3 jela
Aug 05, 2023 22:58Polisi wamemkamata waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan katika mji wa mashariki wa Lahore baada ya mahakama kumhukumu kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuuza zawadi za serikali kinyume cha sheria.
-
Baada ya kushindwa kijeshi, sasa Wamagharibi wameanzisha vita vya kiitikadi dhidi ya Waislamu
Aug 05, 2023 08:06Washiriki wa Kongamano la Kielimu na Kiutafiti la "Iraq al Qur'an" wamesisitiza kuwa, baada ya kufeli na kushindwa kijeshi huko Iraq, Syria, Palestina na Lebanon, sasa madola ya kibeberu duniani yameamua kuanzisha vita vya kiitikadi na kiutamaduni dhidi ya Waislamu.
-
Mejenerali Wazayuni watiwa kiwewe na nguvu za makombora za Wapalestina
Aug 05, 2023 08:00Majenerali wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wametiwa kiwewe na nguvu za makombora zinazozidi kuongezeka za wanamapambano wa Palestina hasa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hususa kwenye mji wa Jenen.
-
Wabahrain waandamana kuunga mkono Qur'ani Tukufu
Aug 05, 2023 04:43Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani vikali vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu nchini Uswidi na Denmark.
-
Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo
Aug 04, 2023 04:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya matatizo mbalimbali ya kiusalama na kiuchumi yanayozisumbua nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Kuendelea mashambulio ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq
Aug 03, 2023 23:02Licha ya kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Ankara na Damascus, mashambulizi ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq yangali ni ajenda inayofanyiwa kazi na serikali ya Ankara.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Aug 03, 2023 07:46Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Utulivu tete katika kambi ya Ain Al-Hilweh kufuatia matamshi ya Sayyid Hassan Nasrullah
Aug 03, 2023 07:38Utulivu wa kiwango fulani umerejea katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Ain Al-Hilweh nchini Lebanon kufuatia matamshi ya Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrallah, ya kusisitizia ulazima wa kusitishwa mapigano katika kambi hiyo.
-
Hamas: Tutalipiza kisasi cha damu ya watoto wa Kipalestina waliouawa shahidi
Aug 03, 2023 04:20Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa italipiza kisasi cha damu ya watoto wa Kipalestina waliouawa shahidi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ripoti: Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu
Aug 02, 2023 23:16Vikosi vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 200 tangu kuanza mwaka huu 2023.