-
Malengo mawili ya ziara ya Mahmoud Abbas nchini Misri
Aug 02, 2023 22:57Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA), ambaye alisafiri kwenda Misri kushiriki katika kikao cha makatibu wakuu wa makundi ya Palestina, alikutana na Rais Abdel Fattae el Sisi wa nchi hiyo na pia mkuu wa idara ya kijasusi wa nchi hiyo.
-
Wazayuni wauvunjia heshima tena Msikiti wa al-Aqsa
Aug 02, 2023 07:10Katika hatua ambayo imekuwa ni ya kawaida katika miezi ya hivi karibuni, Wazayuni kwa mara nyingine tena wameingia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa kwa uungaji mkono wa jeshi la utawala ghasibu wa Isreal.
-
Nasrullah: Lazima kilipizwe kisasi kwa jasusi wa MOSSAD aliyeichoma moto Qur'ani
Aug 02, 2023 04:32Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amewataka vijana wote wa Kiislamu wasisubiri kauli za jumuiya na mashirika bali wachukue hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya mtu aliyeichoma moto Qur'ani.
-
Jenerali wa Israel akiri; Nasrullah si mtu wa kupuuzwa
Aug 01, 2023 22:49Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Operesheni cha jeshi la utawala haramu wa Israel amesema Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ni shakhsia ambaye hapaswi kupuuzwa.
-
Kongresi ya Taifa ya Waarabu: Muqawama na Mapambano ndilo chaguo kuu la kuuhami Umma
Aug 01, 2023 10:09Kongresi ya Taifa ya Waarabu (Arab National Congress) imesisitiza katika taarifa yake kwamba Muqawama na Mapambano ndilo chaguo kuu la kuuhami na kuutetea Umma.
-
Serikali ya San'aa: Marekani haitaki vita vikomeshwe nchini Yemen
Jul 31, 2023 22:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa Marekani haitaki kusimamishwa vita katika nchi hiyo.
-
Wazayuni wenye kuuchukia Uislamu wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Jul 31, 2023 22:56Walowezi wa Kizayuni maghasibu wenye misimamo ya kufurutu ada kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Sauti za "Mauti kwa Israel' zatanda katika maombolezo ya Imam Hussein (AS) katika mji mkuu wa Bahrain
Jul 31, 2023 12:15Watu wa Bahrain walipaza sauti "Mauti wa Israeli" na "Hayhāt minnā l-dhilla" yaani tunapinga udhalilishaji wakati wa hafla ya maombolezo ya Imam Hussein (AS) na wakatangaza kuchukizwa kwao na hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UNRWA yatoa indhari: Baa la ukame linakaribia kuumeza Ukanda wa Gaza
Jul 30, 2023 23:38Mshauri wa vyombo vya habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA ametahadharisha kuwa baa halisi la njaa linakaribia kuumeza Ukanda wa Gaza katika miezi kadhaa ijayo kutokana na kuendelea kwa hali mbaya ya uhaba wa fedha unaosababishwa na kupunguzwa kwa misaada ya kimataifa.
-
Iraq inasema wafanyaziara milioni 16 walifika Karbala katika siku 10 za Muhrram
Jul 30, 2023 08:14Wafanyaziara milioni 16 wameingia Karbala, Iraq katika siku 10 za kwanza za mwezi wa Muharram mwaka huu wa 1445 Hijria Qamaria.