-
Yemen yapiga marufuku bidhaa za Sweden kwa kuvunjia heshima Qurani
Jul 22, 2023 07:39Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen imepiga marufuku bidhaa za Sweden kuigizwa nchini humo, kama jibu kwa hatua ya nchi hiyo ya Ulaya ya kuruhusu vitendo vichafu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Askari katili wa Israel waua vijana wa Kipalestina huko Ramallah
Jul 22, 2023 04:42Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili wa Kipalestina na kuwajeruhi vibaya wengine kadhaa wakati wa mashambulizi katika mji ulioghusubiwa wa Ukingo wa Magharibi wa Ramallah.
-
Bunge la Jordan lataka Sweden ihukumiwe kimataifa na kusitishwa mikataba yote na nchi hiyo
Jul 22, 2023 00:30Bunge la Jordan limetoa wito wa kuhukumiwa Sweden kimataifa kutokana na hatua yake ya kuruhusu vitendo vichafu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani tukufu kkufanyika katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Kurejeshwa kwa uhusiano kati ya Iran na Misri kunahitaji uamuzi wa kijasiri na wa kihistoria wa viongozi wa Cairo
Jul 22, 2023 00:14Katika siku za hivi karibuni, kufuatia kurejeshwa kwa uhusiano kati ya Iran na Saudi Arabia, habari zimesikika kuwa urejeshaji uhusiano na Iran utazijumuisha nchi zingine, Misri ikiwemo.
-
Bunge la Waarabu lataka kampeni maalumu ya kuwatia adabu wanaovunjia heshima matukufu ya Waislamu
Jul 21, 2023 07:38Spika wa Bunge la Waarabu amelaani jinai ya kuvunjiwa heshima tena Qur'ani Tukufu nchini Sweden na ametaka hatua kali za kivitendo zichukuliwe dhidi ya Sweden ikiwa ni pamoja na kususiwa bidhaa za nchi hiyo.
-
Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ayapiga marufuku mashirika ya Sweden
Jul 21, 2023 07:38Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ameyapiga marufuku mashirika yote ya Sweden kufanya kazi nchini humo ikiwa ni kujibu kitendo cha nchi hiyo ya Ulaya Magharibi cha kuruhusu kuvunjiewa heshima tena Qur'ani Tukufu na bendera ya Iraq.
-
Hizbullah yataka nchi za Waislamu ziwafukuze mabalozi wa Sweden
Jul 21, 2023 04:21Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametoa mwito kwa mataifa ya Kiislamu na Kiarabu kuwafukuza mabalozi wa Sweden katika nchi hizo, kulalamikia kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya. Hii ni baada ya mkimbizi wa Iraq aliyeko Sweden kuivunjia heshima Qurani Tukufu kwa kuikanyaga na kuipiga mateke mjini Stockholm jana Alkhamisi.
-
Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, balozi wa Sweden atimuliwa Iraq
Jul 20, 2023 23:10Serikali ya Iraq imemfukuza balozi wa Sweden mjini Baghdad kulalamikia serikali ya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi ya kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Wazayuni wakaribia kutumbukia kwenye vita vikubwa vya wenyewe kwa wenyewe
Jul 20, 2023 23:06Mkuu wa zamani wa shirika la usalama wa ndani la utawala wa Kizayuni ameshindwa kuficha hofu yake kubwa kuhusu mustakbali wa kiza wa Israel na mabadiliko ya sheria yanayopiganishwa na Benjamin Natanyahu akisema kuwa, utawala wa Kizayuni umeanza kuingia kwenye vita vikubwa vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Kushambulia ubalozi wa Uswidi jijini Baghdad; matokeo ya kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu
Jul 20, 2023 08:48Waandamanaji wa Iraq waliokuwa na hasira wameushambulia ubalozi wa Uswidi mjini Baghdad kujibu udhalilishaji uliopangwa dhidi ya Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.