-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2019 00:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuzima sauti ya adhana Baitul Muqaddas Mashariki
Jan 02, 2019 23:41Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa manispaa ya utawala huo haramu katika eneo la Baitul Muqaddas Mashariki (East Jerusalem) ina mpango wa kuzuia sauti ya adhana isisikike katika misikiti ya eneo hilo la Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Abbas: Palestina haitaruhusu Marekani iiuzie Israel Quds Tukufu
Jan 01, 2019 04:47Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema Wapalestina katu hawataruhusu Marekani iuuze mji mtukufu wa Quds kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, akisisitiza kuwa mji huo unaokaliwa kwa mabavu ni mji mkuu wa daima wa taifa la Palestina.
-
Palestina yaitaka jamii ya kimataifa isitishe njama za Israel za kuuyahudisha mji wa Quds
Dec 24, 2018 23:28Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za haraka na za maana ili kusitisha njama za utawala haramu wa Israel za kuuyahudisha mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Arab League yazilaani Brazil, Australia kwa kuitambua Quds kuwa eti mji mkuu wa Israel
Dec 19, 2018 04:10Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imepasisha azimio la kulaani hatua ya Brazil na Australia ya kuutambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel kuwa eti ni mji mkuu wa utawala huo pandikizi.
-
Wazayuni waendelea kuchimba mashimo kusini mwa Msikiti wa Al-Aqswa
Dec 15, 2018 23:14Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea msikiti huo mtakatifu.
-
Australia yafuata mkumbo, yaitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
Dec 15, 2018 03:23Australia imesema inautambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Arab League yaonya kuhusu azma ya Brazil ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds
Dec 11, 2018 03:45Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitahadharisha Brazil dhidi ya mpango wake wa kuuhamishia ubalozi katika mji wa Quds kutoka Tel Aviv, ikisisitiza kwamba hatua hiyo itakuwa na athari mbaya katika uhusiano wa nchi hiyo na nchi za Kiarabu.
-
Jumapili, Disemba 9, 2018
Dec 08, 2018 23:18Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Saba Rabiuthani 1440 Hijria ambayo inalingana na tarehe 9 Disemba 2018 Miladia.
-
Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika
Nov 25, 2018 04:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni muhali na jambo lisiloyumkinika kuugawanya mara mbili mji mtukufu wa Quds (Jerusalem).