nyumba ya sanaa
  • Kikao cha JCPOA Vienna; Iran haitavumilia ukiukaji ahadi za utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia

    Kikao cha JCPOA Vienna; Iran haitavumilia ukiukaji ahadi za utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia

    Jan 12, 2017 00:17

    Kikao cha sita cha kamati ya pamoja ya Iran na nchi zinazounda kundi la 5+1 cha kujadili kukhalifu ahadi kwa Marekani na urefushaji wake wa Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA) kimefanyika Vienna, mji mkuu wa Austria.

  • Ayatullah Hashemi Rafsanjani amezikwa leo

    Ayatullah Hashemi Rafsanjani amezikwa leo

    Jan 10, 2017 13:27

    Mwili wa marehemu Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran umezikwa leo katika haram ya mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini (MA).

  • SAUTI: Waislamu wafuatilia kwa karibu kesi ya aliyemtukana Mtume Muhammad SAW, Zanzibar

    SAUTI: Waislamu wafuatilia kwa karibu kesi ya aliyemtukana Mtume Muhammad SAW, Zanzibar

    Jan 06, 2017 14:55

    Waislamu visiwani Zanzibar na ukanda mzima wa Afrika Mashariki wanaendelea kufuatilia kwa karibu hatua zinazochukuliwa na vyombo vya sheria vya Zanzibar kuhusiana na Abdallah Saleh Abdallah aliyeonekana kwenye mkanda wa video akitoa maneno machafu mno dhidi ya Uislamu.

  • Polisi ya Uganda yawaomba radhi Waislamu kwa kuhujumu msikiti

    Polisi ya Uganda yawaomba radhi Waislamu kwa kuhujumu msikiti

    Jan 05, 2017 13:11

    Polisi nchini Uganda imeomba radhi kutokana na kitendo cha maafisa wake kufanya kuhujumu msikiti mmoja nchini humo mwishoni mwa mwezi uliopita. Disemba 27 mwaka uliomalizika wa 2016,

  • Myanmar na ukandamizaji zaidi dhidi ya Waislamu

    Myanmar na ukandamizaji zaidi dhidi ya Waislamu

    Jan 03, 2017 04:07

    Wakati jumuiya za kikanda na kimataifa zinaendelea kuishinikiza serikali ya Myanmar ili itilie maanani zaidi hali ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na kukomesha ukatili unaofanywa dhidi yao nchini humo, sasa mabudha wenye misimamo mikali na maafisa wa serikali wamebuni mbinu mpya ya kutaka kuwafukuza Waislamu katika makazi na nyumba zao.

  • Mashambulio ya kutumia silaha moto yakithiri nchini Marekani

    Mashambulio ya kutumia silaha moto yakithiri nchini Marekani

    Jan 01, 2017 13:06

    Kituo cha takwimu za mashambulio ya utumiaji bunduki nchini Marekani imetangaza kuwa katika muda wa masaa 48 yaliyopita matukio 190 ya mashambulio ya ufyatuaji risasi yameripotiwa nchini humo ambapo watu wasiopungua 61 wameuawa na wengine 116 wamejeruhiwa.

  • SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa

    SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa

    Jan 01, 2017 02:51

    Wiki hii, Waislamu wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wameshtushwa na kulaani vikali kutukanwa Bwana Mtume Muhamma SAW visiwani humo.

  • Utawala wa Saudia na uenezaji ugaidi nje ya nchi

    Utawala wa Saudia na uenezaji ugaidi nje ya nchi

    Dec 27, 2016 23:22

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kuwa maelfu ya raia wa nchi hiyo wanashiriki kwenye harakati za makundi ya kigaidi nje ya nchi hiyo. Mansour Turki, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia alitangaza siku ya Jumatatu kuwa zaidi ya raia elfu mbili wa nchi hiyo wamejiunga na makundi ya kigaidi. Turki amesisitiza kuwa sehemu hasa walipo akthari ya watu hao zimeshajulikana.