-
Video: Ansarullah wa Yemen wakishambulia kwa makombora eneo la Jizan la Saudia
Jul 24, 2016 04:41Mapigano yanaendelea nchini Yemen, na licha ya harakati ya wananchi ya Answarullah na jeshi Yemen kufungiwa njia zote, lakini wanaendelea kupambana kiume kukabiliana na wavamizi wa nchi yao...
-
Video: Ndege ya Russia ikishambulia ngome za ISIS nchini Syria
Jul 24, 2016 04:36Kipande hiki kifupi cha video kinaonesha namna ndege ya Russia ilipokuwa inashambulia ngome za magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria na kurudi kambini salama.
-
Jeshi la Nigeria laapa kukomboa maeneo yanayoshikiliwa na B/Haram
Jul 23, 2016 12:20Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa litaendeleza mashambulizi yake hadi kukombolewa maeneo yote yanayodhibitiwa na kundi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Maandamano ya Waislamu nchini Pakistan
Jul 23, 2016 09:17Maelfu ya wananchi wa Pakistan wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kupinga mauaji ya Waislamu wenzao wa madhehebu ya Shia na serikali ya nchi hiyo kushindwa kuwachukulia hatua wahusika wa mauaji hayo.
-
UN yapitisha muswada wa kuangamizwa silaha za kemikali za Libya
Jul 23, 2016 08:37Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja muswada wa kuhamishia silaha za kemikali za Libya nje ya nchi hiyo kwa ajili ya kuharibiwa.
-
Ali Larijani: Maadui wanafanya njama za kuzusha mifarakano
Jul 22, 2016 23:47Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika mazingira ya hivi sasa katika Mashariki ya Kati kuna baadhi ya nchi ambazo mbali na kufanya uadui zinafanya kila ziwezalo kuzusha mifarakano katika eneo hili.
-
Mapigano mengine yaibuka mashariki mwa Congo kati ya jeshi na waasi wa Mai-Mai
Jul 22, 2016 23:44Mapigano mapya yameripotiwa kutokea kati ya waasi wa Mai-Mai na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Machar apuuza makataa ya masaa 48 ya Kiir kumtaka arejee Juba
Jul 22, 2016 23:39Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amekataa kuheshimu makataa ya masaa 48 aliyopewa na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo awe amerejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
-
Watu tisa wauawa katika shambulio mjini Munich, Ujerumani
Jul 22, 2016 23:35Watu tisa wameuawa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kuwafyatulia risasi watu katika jumba moja la kibiashara mjini Munich, Ujerumani.
-
Uingereza yakiri kuwa Saudia inatenda jinai za kutisha Yemen
Jul 22, 2016 10:22Katika hatua isiyo ya kawaida na ambayo haikutarajiwa na wengi, Uingereza imekiri kuwa yumkini muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika hujuma za anga dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Yemen umekiuka sheria za kibinadamu.