-
Mapigano makali yaibuka tena nchini Mali huku hali ya hatari ikitekelezwa
Jul 22, 2016 10:00Mapigano makali yameibuka tena nchini Mali kati ya waasi wa Tuareg na makundi yanayoiunga mkobo serikali katika mji wa Kidali uliopo kaskazini mwa nchi hiyo ya Afrika magharibi.
-
Makumi ya wanawake na watoto waokolewa kutoka mikononi mwa Boko Haram
Jul 22, 2016 09:21Jeshi la Nigeria limewaokoa makumi ya wanawake na watoto kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Ayatullah Khatami: Bahrain inawakandamiza wananchi kwa usimamizi wa Marekani na Uingereza
Jul 22, 2016 09:12Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, watawala wa Aal Khalifa wamekuwa wakiamialiana vibaya na raia wa Bahrain kwa usimamizi wa Marekani na Uingereza.
-
Mateso ya Waislamu wa Kashmiri ya upande wa India
Jul 22, 2016 05:57Waislamu wa eneo la Kashmiri lililoko chini ya India wamefanya maandamano makubwa ya kulaani serikali ya India baada ya jeshi la nchi hiyo kuwaua baadhi ya wanaharakati wanaopigania uhuru wa eneo hilo.
-
Goli la mapema zaidi kuwahi kufungwa katika historia ya kandanda
Jul 22, 2016 05:52Mchezo wa mpira wa miguu siku zote huwa na maanajabu. Hili hapa goli la haraka zaidi kuwahi kufungwa katika hitoria ya soka. Hilo limetokea nchini Mexico.
-
Bunge la Afrika Mashariki lamuenzi Hafsa Mossi
Jul 21, 2016 09:22Bunge la Afrika Mashariki EALA limefanya kikao maalumu asubuhi ya leo mjini Arusha Tanzania, kwa ajili ya kumuenzi Hafsa Mossi, mwakilishi wa Burundi katika bunge hilo la kieneo ambaye aliuawa wiki jana mjini Bujumbura.
-
Kiongozi wa upinzani Gambia ahukumiwa miaka 3 jela
Jul 21, 2016 09:17Kiongozi wa upinzani nchini Gambia Ousainou Darboe amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.
-
Hizbullah yalaani kuchinjwa mtoto Abdullah wa Kipalestina na magaidi wa Syria + Video
Jul 21, 2016 03:50Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali jinai ya kutisha iliyofanywa na kundi la kigaidi la Harakati ya Nureddin al-Zenki ya kumchinja mtoto wa Kipalestina.
-
Video: Ukatili wa magaidi wa Syria hata kwa watoto wa Kipalestina
Jul 21, 2016 03:35Magaidi wa Syria wa kundi la Nuruddin al Zanki wanaoungwa mkono na madola ya kieneo na ya Magharibi hasa Marekani, yamezidi kudhihirisha ukatili wao kwa kumchinja kama kuku mtoto mdogo wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 12.
-
Askari mwerevu wa barabarani
Jul 21, 2016 02:10Asakari mwerevu wa barabarani nchini China, alichukua hatua ya haraka na inayofaa na kufanikiwa kuokoa roho na makumi ya magari kama inavyoonesha video hii...