-
Askari wa Israel waendelea kuangamizwa na wanamuqawama Gaza
May 11, 2024 04:29Wanajeshi wengine watano wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika shambulizi la ulipizaji kisasi lililofanywa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kushirikiana na Ulaya kwa kuzingatia maslahi ya pamoja
May 11, 2024 00:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na Ulaya kwa kuzingatia maslahi ya pande mbili.
-
Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yakwama, wajumbe wa Hamas na Israe waondoka Cairo
May 11, 2024 00:42Mazungumzo yaliyokuwa na lengo la kuhitimisha vita vya Gaza yaliyokuwa yakifanyika huko Cairo Misri yamekwama na pande mbili zimeshindwa kufikia makubaliano.
-
Njama za utawala wa Kizayuni za kuzusha mgogoro wa kibinadamu Rafah
May 10, 2024 07:26Katika kuendeleza jinai zake utawala wa Kizayuni umepanga kuzusha mgogoro wa kibinadamu huko Rafah.
-
Al Houthi: Yemen italenga meli zenye uhusiano na Israel bila kujali zinakoenda
May 10, 2024 06:40Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul Malik al-Houthi, amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vitalenga meli za kampuni yoyote inayohusiana na kusambaza au kusafirisha bidhaa hadi Israel bila kujali zinakoelekea.
-
Muqawama wa Iraq washambulia maeneo ya kistratajia ya Israel, Eilat
May 10, 2024 03:54Harakati ya Kiislamu ya Iraq imetangaza kuwa imeshambulia maeneo ya kistratajia ya Israel katika mji wa Eilat, ulioko kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Yemen yashambulia meli 3 za Waisraeli katika Ghuba ya Aden, Bahari ya Hindi
May 09, 2024 22:39Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya jeshi la majini, anga na makombora vya nchi hiyo vimezishambulia meli tatu zenye uhusiano na Israel kama sehemu ya kampeni ya baharini ya kuwaunga mkono na kuwatetea Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Kaburi jingine la umati lafukuliwa huko Gaza, "miili isiyo na vichwa yapatikana"
May 09, 2024 03:56Wahudumu wa afya kaskazini mwa Gaza wametoaa miili mingine katika kaburi jingine la umati katika Hospitali ya Shifa. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya vyombo vya habari huko Ukanda wa Gaza. taarifa hiyo imeongeza kuwa miili hiyo iliyotolewa katika kaburi la umati imekutwa bila ya vichwa.
-
MSF: Kufunga kivuko cha Rafah kutaifanya hali ya Gaza kuwa mbaya zaidi
May 09, 2024 03:51Mkuu wa timu ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) ametahadharisha kuwa mazingira ya kuidhaminia Gaza maji safi, chakula na dawa za matibabu yamefika marhala hatari na kwamba hatua ya kukifunga kivuko cha Rafah kunaifanya hali ya wakazi wa ukanda huo kuwa mbaya zaidi.
-
Kuthibitishwa ukweli wa utawala wa Kizayuni kutoweza kujilinda; matokeo muhimu ya vita vya Gaza
May 09, 2024 03:35Wachambuzi wa masuala ya uhusiano wa kimataifa wanaamini kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kujilinda bila ya msaada wa Marekani, na udhaifu wake katika uwanja huo umefichuka na kuanikwa peupe.