-
Himaya mpya ya Magharibi kwa Israel
Jan 18, 2024 05:05Wakati ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel bado unaendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina wa Gaza, nchi za Magharibi nazo zinaendelea kutoa himaya na misaada kwa utawala huo, na kinyume na madai yote ya eti kutetea haki za kibinadamu yanayotolewa na nchi hizo, zinaiwezesha Israel kuendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Wapalestina wengine 17 wauawa shahidi katika shambulio la Israel kusini mwa Gaza
Jan 18, 2024 04:14Wapalestina 17 wameuawa shahidi katika shambulio la mapema asubuhi ya leo lililofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah ya Yemen: Ni fakhari kwetu kuitwa magaidi na utawala wa kigaidi wa Marekani kwa sababu ya Palestina
Jan 18, 2024 03:13Ofisi ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mjibizo kwa hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" na kueleza kwamba hatua hiyo ya Washington haina thamani wala itibari yoyote.
-
National Interest: Mashambulizi ya Marekani na washirika wake dhidi ya Yemen hayana taathira yoyote
Jan 17, 2024 23:28Jarida la Marekani la "The National Interest" limeripoti kuwa mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na washirika wake dhidi ya Yemen hayana tija wala taathira yoyote.
-
Khalid Mash'al: Taifa la Palestina linataka kuwa huru na kujikomboa kutoka katika minyororo ya maghasibu
Jan 17, 2024 23:20Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nje ya Palestina amesema kuwa taifa la Palestina linapigania uhuru, linataka kujikomboa na kuunda nchi huru mji wake mkuu ukiwa Quds Tukufu.
-
Kundi la kigadi la Jaishu Dhulm lakiri kushambuliwa ngome zake Pakistan
Jan 17, 2024 04:35Kundi la kigaidi la Jaishu Dhulm limetangaza kuwa ngome zake zimelengwa na kushambuliwa kwa makombora usiku wa kuamkia leo katika mpaka wa Iran na Pakistan.
-
Operesheni kabambe ya Iran ya kujibu jinai za magenge ya kigaidi katika eneo na waungaji mkono wao wa Magharibi
Jan 17, 2024 04:02Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeshambulia kwa mpigo kupitia operesheni mbili tofauti makao makuu ya magenge ya kigaidi katika nchi za Iraq na Syria, likiwa ni jibu kwa vitendo vya magenge hayo na kwa moto wa vita unaoendelea kukolezwa na utawala haramu wa Kizayuni na waungaji mkono wake wa Magharibi.
-
Sababu za vita vya Gaza kuendelea kwa muda mrefu
Jan 17, 2024 01:03Licha ya kupita siku 100 tangu vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza vianze, lakini bado hakuna matarajio ya kumalizika kwa vita hivyo.
-
EU yamuweka Yahya Sinwar, kiongozi wa HAMAS katika orodha ya ugaidi
Jan 16, 2024 23:07Umoja wa Ulaya umemuweka kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) huko Gaza katika orodha yake ya magaidi, kwa tuhuma za kufanikisha shambulizi la kushtukiza la Kimbunga cha al-Aqsa la Oktoba 7 mwaka uliopita.
-
OCHA: Israel inazuia kupelekwa dawa kaskazini mwa Gaza
Jan 16, 2024 23:06Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kuzuia ufikishaji wa misaada muhimu ya kibinaadamu ikiwa ni pamoja na dawa muhimu na mafuta ya kuendesha huduma za maji na usafi wa mazingira kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.