-
Wasiwasi wa Baraza la Usalama kwa hali ya kibinadamu nchini Afghanistan
Aug 07, 2023 22:38Akthari ya washiriki katika mkutano wa hivi karibuni wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa chini ya kichwa "Ukosefu wa Usalama wa Chakula Duniani" walionyesha wasiwasi walionao kwa hali ya kibinadamu nchini Afghanistan.
-
HAMAS: Israel ni adui wa Umma wa Kiislamu, tuungane kukabiliana na uchokozi wake
Aug 07, 2023 08:34Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusababisha vifo vya askari wanne wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, umma wote wa Kiislamu unapaswa kuungana pamoja kukabiliana na utawala huo dhalimu.
-
Mkutano wa Jeddah wa kujadili vita vya Ukraine wamalizika bila ya kupatikana tija ya maana
Aug 07, 2023 07:59Mazungumzo ya siku mbili ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa vita kati ya Ukraine na Russia yaliyofanyika mjini Jeddah, Saudi Arabia yamemalizika bila kupatikana tija na matokeo ya maana.
-
Mwanamitindo Mzayuni aliyejipenyeza kama mwizi atimuliwa nchini Misri
Aug 07, 2023 03:23Maafisa wa hoteli moja nchini Misri wamemfukuza mwanamitindo maarufu wa Kizayuni baada ya kugundua utambulisho wake. Mzayuni huyo aliingia Misri kwa paspoti nyingine na alificha Uzayuni wake.
-
Jumuiya ya Wanahabari: Mashia wanaendelezwa kukandamizwa nchini Bahrain
Aug 06, 2023 23:12Jumuiya ya Wanahabari wa Bahrain imetangaza kuwa,utawala wa Al-Khalifa unaendelea kuwatesa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Utawala wa Netanyahu umechochea mapingano katika kambi ya Wapalestina ya Ain Halweh
Aug 06, 2023 23:09Kwa bahati nzuri, usitishaji mapigano upo katika kambi ya wakimbizi ya Kipalestina huko Ain Al-Hilweh, iliyoko kusini mwa Lebanon, na juhudi za kisiasa, haswa za vikundi vya muqawama wa Lebanon na Palestina, zinaendelea ili kudumisha usitishaji mapigano.
-
Haaretz: Mgogoro wa kushindwa jeshi la Israel unazidi kupanuka
Aug 06, 2023 07:17Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kuwa matatizo yanayowapata wanajeshi wa utawala huo ni makubwa mno kuliko kile kinachoelezwa na maafisa usalama wa Tel Aviv.
-
Miaka mitatu baada ya mlipuko wa Beirut bado kesi ya kadhia hii haijatatuliwa
Aug 06, 2023 07:01Ikiwa imetimia miaka mitatu tokea kujiri mlipuko wa kutisha huko Beirut mchakato wa mahakama katika kesi ya mlipuko huo bado haujakamilika na Lebanon bado inatawaliwa na serikali ya mpito.
-
Walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina mara 900 Julai
Aug 06, 2023 04:21Kamisheni ya mapambano ya Palestina imesema katika ripoti yake mpya kuwa, vikosi vya utawala haramu wa Israel pamoja na walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina na maeneo yao matakatifu karibu mara 900 mwezi uliopita wa Julai.
-
Saudia yaitisha mkutano wa nchi 40 kujadili vita vya Ukraine bila kuialika Russia
Aug 05, 2023 23:00Saudi Arabia imeitisha mkutano mjini Jeddah, ambao umehudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka nchi zipatazo 40, pasi na kuishirikisha Russia, lengo likiwa ni kupendekeza kanuni kuu za kuhitimisha vita kati ya nchi hiyo na Ukraine.