-
HAMAS: Kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani
Oct 17, 2019 04:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, hatua ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa ni udhalilishaji na uchochezi wa wazi wa hisia za umma mzima wa Kiislamu na Kiarabu.
-
Wazayuni wazidi kuwanyanyasa Wapalestina, wamtia mbaroni mkuu wa mkoa
Oct 15, 2019 00:35Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza unyanyasaji wao dhidi ya Wapalestina kwa kumtia mbaroni mkuu wa mkoa wa Quds na viongozi wengine wa harakati ya Fat'h katika Ukingo wa Magharibi wa Mto wa Mto Jordan.
-
HAMAS: Dunia ikabiliane na uvunjiaji heshima yanayofanyiwa matukufu ya Kiislamu na Kikristo Palestina
Oct 10, 2019 04:20Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa ya kuitaka Jamii ya Kimataifa ichukue hatua kukabiliana na uvunjaji heshima unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya matukufu ya Kiislamu na Kikristo katika ardhi ya Palestina.
-
Hamas: Mbinu zote zinazowezekana zitumike katika kulinda Msikiti wa Al Aqsa
Oct 04, 2019 08:37Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito wa kutumiwa kila mbinu inayowezekana katika kuulinda na kuutetea Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Sep 29, 2019 09:49Walowezi wapatao 200 leo wamevamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa wakiitikia wito wa makuhani wa utawala ghasibu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jumamosi, 28 Septemba, 2019
Sep 27, 2019 23:07Leo ni Jumamosi tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2019 Miladia.
-
Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina
Sep 26, 2019 00:44Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemtia mbaroni Waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Makampuni ya Imarati yanunua ardhi za mji wa Quds kwa ajili ya Wazayuni
Aug 29, 2019 03:22Naibu Mwenyekiti wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina amesema kuwa makampuni ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yananunua ardhi huko Quds na kisha kukabidhi umiliki wa ardhi hizo kwa Waisraeli.
-
OIC: Baitul Muqaddas (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina
Aug 22, 2019 07:41Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuwa: Baitul Muqaddas utabakia daima kuwa mji mkuu wa Palestina.
-
Hamas yakosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya Msikiti wa Al Aqsa
Aug 21, 2019 20:41Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amezikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.