Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Utawala wa Israel wakereka baada ya rais wa Chile kuutembelea Msikiti wa Al-Aqsa

    Utawala wa Israel wakereka baada ya rais wa Chile kuutembelea Msikiti wa Al-Aqsa

    Jun 27, 2019 03:36

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umekerwa na hatua ya Rais Sebastián Piñera wa Chile akishirikiana na Idara ya Wakfu ya Kiislamu ya Quds na viongozi wa ngazi ya juu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, kuzuru Msikiti wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Hamas: Trump hawezi kuwatenganisha Wapalestina na Quds Tukufu

    Hamas: Trump hawezi kuwatenganisha Wapalestina na Quds Tukufu

    Jun 20, 2019 06:29

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa muamala wa karne hauwezi kuwapokonya Wapalestina mji wa Quds (Jeruusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Romania yasema haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake Quds

    Romania yasema haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake Quds

    Jun 15, 2019 03:34

    Katibu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Romania amesema nchi hiyo ya Ulaya haina mpango wowote wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, kutoka Tel Aviv.

  • Ijumaa tarehe 7 Juni 2019

    Ijumaa tarehe 7 Juni 2019

    Jun 06, 2019 22:40

    Leo ni Ijumaa tarehe 7 Juni mwaka 2019.

  • Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Jun 04, 2019 01:57

    Qatar imelaani jinai ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kuuvamia Msikiti wa al Aqsa na kuwajeruhi Waislamu kadhaa waliokuwa wanasali msikitini humo kwa kushirikiana na wanajeshi katili wa Israel.

  • Hamas walaani uvamizi wa wanajeshi wa Israel ndani ya Msikiti wa al Aqsa + Video

    Hamas walaani uvamizi wa wanajeshi wa Israel ndani ya Msikiti wa al Aqsa + Video

    Jun 02, 2019 06:29

    Mjumbe mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani kitendo cha wanajeshi na walowezi wa Kizayuni cha kuvamia na kuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa na matukufu mengine ya Kiislamu.

  • Nasrallah: Vita dhidi ya Iran vitawasha moto eneo zima

    Nasrallah: Vita dhidi ya Iran vitawasha moto eneo zima

    May 31, 2019 23:32

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran havitaishia katika mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu bali vitawasha moto katika eneo zima la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).

  • Jeshi katili la Israel lawaua shahidi Wapalestina katika Siku ya Quds

    Jeshi katili la Israel lawaua shahidi Wapalestina katika Siku ya Quds

    May 31, 2019 23:27

    Kwa akali Wapalestina wawili waliuawa shahidi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jana Ijumaa, wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds.

  • Wananchi wa Tanzania washiriki vikao na maandamano ya Siku ya Quds +SAUTI

    Wananchi wa Tanzania washiriki vikao na maandamano ya Siku ya Quds +SAUTI

    May 31, 2019 10:20

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kutetea Haki za Wapalestina nchini Tanzania Abdallah Othman, amemuomba Rais John Pombe Magufuli apaze sauti juu ya suala la kuwaunga mkono Wapelestina, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakidhulumiwa katika ardhi yao.

  • Baqeri: Maandamano ya Quds yatasambaratisha njozi za Marekani kuhusu Palestina

    Baqeri: Maandamano ya Quds yatasambaratisha njozi za Marekani kuhusu Palestina

    May 31, 2019 01:28

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maandamano makubwa yatakayoshuhudiwa leo Ijumaa katika Siku ya Kimataifa ya Quds yatasambaratisha njozi na ndoto za alinacha za Marekani dhidi ya taifa la Palestina.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    2 hours ago
  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Hamas: Lengo la utawala wa Israel ni kuhitimisha shughuli za UNRWA

  • Iran yatengeneza chanjo za wanyama wa majini kwa kutegemea teknolojia ya ndani

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu athari za mapigano mapya Tigray, Ethiopia

Chaguo La Mhariri
  • Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    21 hours ago
  • Kwa nini fikra ya

    Kwa nini fikra ya "Ulinzi" inasalia kuwa takatifu kwa Wairani?

    23 hours ago
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    24 hours ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Pezeshkian: Makosa yote ni ya Marekani, kabla ya vita Hormuz ilikuwa wazi

  • Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

  • Baada ya kushuhudia 'maafa', wapiganaji wa RSF waamua kujiunga na upande wa jeshi la Sudan

  • EU lazima iwajibishwe kwa uvamizi wa Marekani nchini Iran

  • Vyombo vya habari vya kizayuni: Hotuba ya Netanyahu imeonyesha namna Israel ilivyotengwa kimataifa

  • Ufaransa kuipelekea Saudia msaada wa askari na mitambo ya rada na ulinzi

  • Mkurugenzi wa zamani wa UN: Netanyahu na wenzake lazima watiwe mbaroni

  • Jeshi la Ethiopia: Waasi 272 wa TPLF wameuawa baada ya kushindwa jaribio lao mashambulizi

  • Bei ya dizeli yapaa tena Ulaya, yavunja rekodi ya miaka 21 iliyopita

  • Thailand yachunguza kundi la kiyahudi linalohusishwa na 'mtandao wa Israel' wa ununuzi wa ardhi

  • Rais wa Baraza la Ulaya akataa ombi la Trump la kuitaka EU ijitoe kwenye ICC, ICJ

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS