-
Mataifa ya Kiislamu yaandamana kupinga US kuuhamishia ubalozi wake Quds
May 12, 2018 02:54Maelfu ya watu wameshiriki maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.
-
Kuchukua wigo mpana zaidi malalamiko ya Wapalestina dhidi ya njama za Trump huko Beitul-Muqaddas
May 10, 2018 07:21Ripoti mbalimbali kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kushadidi upinzani na malalamiko ya vyama na makundi mbalimbali ya Kipalestina dhidi ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya mji wa Beitul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa: Tunapinga Marekani kuhamishia ubalozi wake Beitul-Muqadas
May 09, 2018 09:47Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kwa mara nyingine tena upinzani wa taasisi hiyo kwa uamuzi wa Marekani wa kutaka kuhamishia ubalozi wake katika mji wa Beitul-Muqaddas huko Palestina inayokkaliwa kwa mabavu.
-
Kusimama kidete Wapalestina kwawalazimisha Wazayuni kuitisha kikao cha dharura
May 09, 2018 03:20Viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamelazimika kuitisha kikao cha dharura baada ya vyama, mirengo na makundi yote ya Wapalestina kuungana na kusimama imara kukabiliana na uadui wa kupindukia wa rais wa Marekani dhidi ya mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Ukosoaji wa rais wa Romania kwa uamuzi wa kuhamishiwa ubalozi wa nchi hiyo Quds Tukufu
May 06, 2018 22:26Rais Klaus Iohannis wa Romania amekosoa vikali uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv, kwenda mji wa Quds (Jerusalem) na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kosa kubwa.
-
Syria yataka kusitishwa jinai za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani
May 03, 2018 02:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemtumia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la umoja huo ikitaka kusitishwa jinai za kivita zinazofanywa na muungano eti wa kimataifa chini ya uongozi wa Marekani dhidi ya taifa la Syria.
-
Mapatano ya Karne; mpango wa kuifuta Palestina
May 02, 2018 03:37Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani yay Palestina amesisitiza kuwa, Beitul-Muqaddas ni mji mkuu wa abadi na milele wa Palestina.
-
Japan yaipinga Marekani, yasema haitahamishia ubalozi wake Beitul-Muqaddas
May 01, 2018 23:25Waziri Mkuu wa Japan amesisitiza kuwa, nchi yake haitaungana na Marekani katika uamuzi wake na kwamba, haitahamishia ubalozi wake katika mji wa Beitul-Muqaddas
-
Kitongoji cha Trump, nembo ya ubeberu wa Marekani na Israel
Apr 28, 2018 23:08Waziri wa Ujenzi wa Israel, Yoav Galant ametangaza kuwa, Tel Aviv imechukua uamuzi wa kukipa jina la "Kitongoji cha Trump" eneo kutakakojengwa balozi za nchi mbalimbali katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
-
Rais wa Romania amtaka Waziri Mkuu ajiuzulu baada ya kutembelea Israel kwa siri
Apr 27, 2018 23:27Rais Klaus Iohannis wa Romania amemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Viorica Dancila ajiuzulu kutokana na safari yake ya siri katika utawala wa Kizayuni wa Israel.