-
Kamanda wa IRGC: Iran iko tayari kushambulia ngome za Marekani
May 10, 2026 09:08Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema makombora ya kisasa pamoja na droni za kivita za Iran tayari zimeelekezwa dhidi ya ngome za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi, huku vikosi vya jeshi vikisubiri amri ya mwisho ya kushambulia.
-
Mchezaji wa tenisi wa Iran ajiondoa mashindano ya dunia kuepuka kushindana na Muisraeli
May 10, 2026 09:04Mchezaji chipukizi wa tenisi kutoka Iran, Hana Shabanpour, amejiondoa katika fainali ya mashindano ya J60 Turkey World Tour siku ya Jumapili baada ya kukataa kucheza dhidi ya mpinzani aliyekuwa akiwakilisha utawala wa Israel, kama ishara ya kupinga mauaji na mateso dhidi ya Wapalestina.
-
Pezeshkian: Ukoloni hauna nafasi katika dunia; Iran yataka mahusiano ya kuheshimiana
May 09, 2026 09:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa ukoloni na unyonyaji havitakuwa na nafasi katika dunia ya kesho, akisisitiza tena dhamira ya Iran ya kuendeleza mahusiano ya kirafiki yanayojengwa juu ya kuheshimiana na maslahi ya pamoja.
-
Kurudi Nyumbani Wakati wa Vita vya Siku 40 Wairan Waliokuwa Wameihajiri Nchi Kunafikisha Ujumbe Gani?
May 09, 2026 14:04Takwimu zilizorekodiwa katika mipaka ya Iran zinaonyesha kuwa wakati wa vita vya siku 40 vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Wairani 630,000 waliingia nchini kupitia mipaka ya nchi kavu.
-
CIA yakiri: Iran inaweza kuhimili mzingiro wa baharini wa Marekani
May 09, 2026 09:57Shirika la Ujasusi la Marekani limekiri kuwa Iran ina uwezo wa kuhimili athari za mzingiro wa nchi hiyo kwa miezi kadhaa, na pia ina hifadhi kubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani.
-
Araghchi: Wairani hawapigi magoti mbele ya mashinikizo
May 09, 2026 09:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameonya kuwa Marekani hukimbilia hatua za kijeshi za kiholela hasa pale suluhisho la kidiplomasia linapoonekana kuwa karibu, huku akisisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitasalimu amri kamwe mbele ya mashinikizo.
-
Mbunge Ulaya atoa wito wa uchunguzi kuhusu mauaji ya wanafunzi wa shule ya Minab
May 09, 2026 09:12Mwakilishi wa Bunge la Ulaya ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na Marekani na Israel dhidi ya wasichana wa Shule ya Msingi ya Minab kusini mwa Iran, akisema huenda yalikuwa shambulio la kupangwa.
-
Vikosi vya Iran vyashambulia meli za kivita za Marekani
May 08, 2026 11:20Msemaji wa Kamandi ya Khatam alAnbiya ya Majeshi ya Iran amesema kwamba vikosi vya Iran vimetoa jibu la papo hapo na lenye nguvu kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya kijeshi ya Marekani katika eneo muhimu la MlangoBahari wa Hormuz pamoja na ukanda wa pwani wa kusini mwa Iran.
-
Rais Pezeshkian asifu unyenyekevu wa Kiongozi Muadhamu
May 08, 2026 11:17Rais Masoud Pezeshkian amesimulia kwa kina mkutano wake wa hivi karibuni na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, akielezea hali ya kikao hicho pamoja na sifa za binafsi, kimaadili na kiuongozi alizozishuhudia kwa Kiongozi huyo.
-
Pezeshkian amwambia Macron: Iran yataka diplomasia huku ikisisitiza kulinda haki za taifa
May 07, 2026 08:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amemwambia mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kuwa Tehran iko tayari kuendelea kwa dhati na njia za kidiplomasia ili kukomesha vita, huku ikisisitiza umuhimu wa kulindwa haki za taifa la Iran.