-
Pezeshkian: Taifa la Iran limemfanya adui akate tamaa kwa mapambano yake ya siku 40
Apr 12, 2026 09:32Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo nafasi muhimu ya Muqawama na mapambano ya kitaifa katika kuvuka kipindi na hali ya vita na kusema: "Taifa la Iran, limemfanya adui akate tamaa na kukosa matumaini kwa Muqawama na mapambano yake ya siku 40."
-
Mwanazuoni wa Ahlu‑Sunnah wa Russia: Imam Khamenei hakukubali udhalili
Apr 12, 2026 08:50Mufti wa Volgograd, nchini Russia amesema: Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ni shahidi mkubwa wa Umma wa Kiislamu na mfuasi wa Suna ya Mtume Muhammad (S.A.W.), na jina lake litasalia katika historia kama kiongozi jasiri na mwanaume halisi.
-
Jeshi la IRGC lashambulia Kamandi ya Jeshi la Marekani na ngome za Israel katika Ghuba ya Uajemi
Apr 06, 2026 04:50Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetekeleza wimbi jipya la mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya shabaha mbalimbali zenye mfungamano na Marekani na Israel katika eneo la Ghuba ya Uajemi katika sehemu ya wimbi la 97 la Oparesheni Ahadi ya Kweli-4.
-
Qalibaf amwambia Trump: Kutii maagizo ya Netanyahu kutawasha moto kwenye kanda nzima
Apr 06, 2026 02:28Spika wa Bunge la Iran amejibu vitisho vya hivi karibuni vya Donald Trump, rais gaidi wa Marekani katika ujumbe wake kwenye mtandao wa kijamii wa X akisema tabia yake ya kutii na kufuata maagizo ya waziri mkuu katili wa Israel Benjamin Netanyahu kutawasha zaidi moto wa vita katika kanda nzima ya Magharibi mwa Asia.
-
Baghaei: Vita vilivyotwishwa Iran vimelenga utambulisho wa Iran
Apr 06, 2026 02:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Vita vya kulazimishwa vya Wamarekani na Wazayuni dhidi ya Iran vimelenga uwepo na utambulisho wa Kiirani.
-
Aragchi: Tishio la Trump dhidi ya miundombinu ya nishati Iran ni kukiri uhalifu wa kivita
Apr 05, 2026 22:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa vitisho vya Marekani vya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran ni kukiri wazi nia ya kutenda uhalifu wa kivita.
-
Qalibaf: Majenerali wa Marekani hawataki kufa kwa ajili ya Israel
Apr 05, 2026 05:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran, amekejeli hatua ya Waziri wa Vita wa Marekani, Pete Hegseth ya kuwatimua makamanda wenye uzoefu katika jeshi la nchi hiyo na kuandika: Hawataki tena kumtii mtangazaji wa televisheni anayehatarisha maisha ya Wamarekani kwa ajili ya njozi za Israel.
-
Iran yaangusha helikopta mbili za Black Hawk na ndege mbili za kijeshi za C‑130 za Marekani
Apr 05, 2026 05:36Msemaji wa Kamandi Kuu ya Khatam al‑Anbiya ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa vyombo vya anga vya adui vilivyovamia mkoa wa Isfahan, vikijumuisha helikopta mbili aina ya Black Hawk na ndege mbili za usafirishaji wa kijeshi ya C‑130 zimetunguliwa na kuangamizwa na vikosi vya ulinzi.
-
Spika wa Bunge la Iran aonya kuhusu majibu mapana dhidi ya maslahi ya Marekani katika eneo
Apr 05, 2026 03:05Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Ghalibaf, amesisitiza kuwa “usalama endelevu” ndio kipaumbele kikuu cha Iran, akionya kwamba kuendelea kwa mvutano kutasababisha majibu mapana yatakayolenga maslahi ya Marekani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Namna vita dhidi ya Iran vilivyobadilisha muundo wa soko la nishati duniani?
Apr 05, 2026 01:53Taasisi moja ya Marekani imekiri kwamba vita dhidi ya Iran vimebadilisha pakubwa muundo wa soko la nishati duniani.