-
Televisheni ya CNN yatuhumiwa kuchuja habari zote zinazohusiana na Gaza
Jan 05, 2024 07:27Tovuti ya The Intercept imetangaza kwamba, habari zote ambazo mtandao wa habari wa CNN unaangazia kuhusu vita vya Ukanda wa Gaza huchujwa na kudhibiitiwa na jeshi la Israel kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
-
Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu UN yasisitiza tena: Ni marufuku kuwalazimisha watu wa Gaza kuhama nchi yao
Jan 05, 2024 03:26Kamishna Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amepinga matamshi yaliyotolewa na viongozi wa serikali ya Israel kuhusu suala la kuwahamisha watu wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka katika nchi zingine.
-
Ripoti: Israel inapanga kuwahamishia Afrika Wapalestina wa Gaza
Jan 04, 2024 23:02Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha ripoti zinazodai kuwa, utawala wa Kizayuni unafanya mazungumzo ya siri ili kuwahamisha kwa nguvu mamilioni ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi nyingine za Afrika.
-
Wapalestina 22,315 wameuawa shahidi Gaza tangu yalipoanza mashambulizi ya Israel Oktoba 7
Jan 04, 2024 08:57Idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na jeshi katili la Israel huko Gaza tangu Oktoba 7 imeongezeka na kupindukia 22,000.
-
Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi
Jan 04, 2024 07:41Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapinga kile kinachoonekana kama mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, hatua haina tofauti na mauaji ya kimbari.
-
Mauaji ya kigaidi ya Saleh al-Arouri; Utawala wa Kizayuni wakiri kushindwa katika malengo ya kijeshi ya vita vya Gaza
Jan 04, 2024 02:20Katika kitendo cha jinai, utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua Saleh al-Arouri na wapiganaji wengine 7 wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) huko Beirut. Uhalifu huu unaweza kuchambuliwa katika pande kadhaa.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga maeneo ya Wazayuni
Jan 04, 2024 02:04Hizbullah ya Lebanon imelenga maeneo kadhaa ya Wazayuni karibu na mpaka wa Lebanon na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
WHO yaonya kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu Gaza
Jan 03, 2024 23:40Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amelaani shambulio la bomu katika kituo cha Hilali Nyekundu cha Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kuitaja hatua hiyo kwamba, iikko kkinyume na dhamiri na takkwa la kulinda vituo vya matibabu katika ukanda huo.
-
Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa wafikia 501
Jan 03, 2024 23:40Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa, idadi ya askarii wake waliouawa hadi sasa tangu ilipototekkelezwa operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa imefikia 501.
-
Benki Kuu ya Israel: Vita vya Ghaza vinazidi kututia hasara, itafika dola bilioni 58
Jan 03, 2024 23:13Gavana wa Benki Kuu ya Israel amesema kuwa vita vya Ghaza vinazidi kutia hasara utawala wa Kizayuni na hasara hizo zinaweza kupindukia dola bilioni 58 za Kimarekani.