-
Haniyeh: Israel itawajibika kwa mauaji ya Arouri
Jan 03, 2024 04:36Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Hamas, Ismail Haniyeh amesema utawala haramu wa Israel utawajibika kwa mauaji ya afisa mkuu wa harakati hiyo, Saleh al-Arouri, na ameyataja mauaji hayo kuwa ni "kitendo cha kigaidi na ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala ya Lebanon."
-
Haaretz: Mfumo wa afya ya akili wa Israeli unaelekea kusambaratika
Jan 03, 2024 04:35Gazeti la Haaretz la Israel limeripoti kuwa wakati mfumo wa afya ya akili wa Israel unakabiliwa na hatari ya kuporomoka, madaktari wa magonjwa ya akili wanaondoka kuelekea Uingereza kutafuta hali bora zaidi ya maisha.
-
Naibu katika Ofisi ya Kisiasa ya Hamas auawa katika hujuma ya kigaidi ya Israel
Jan 02, 2024 23:18Naibu mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Palestina Hamas ameuawa katika shambulio la kigaidi la ndege isiyo na rubani ya utawala katili wa Israel katika kitongoji cha kusini mwa mji mkuu wa Lebanon wa Beirut.
-
Walowezi wa Kizayuni wasiopungua 48,000 walivamia Msikiti wa Al-Aqsa mwaka 2023
Jan 02, 2024 23:17Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
-
Kushtadi mvutano kati ya Netanyahu na Biden kuhusu Gaza
Jan 02, 2024 23:16Gazeti la Marekani la New York Times limetangaza katika ripoti iliyowanukuu maafisa wa Marekani na Wazayuni kwamba, mazungumzo ya hivi karibuni kati ya Rais Joe Biden wa Marekani na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel yalitawaliwa na malumbano na kurushiana maneno.
-
HAMAS: Muqawama utaipa Israel funzo lisilosahaulika kwa ukatili inaowafanyia Wapalestina
Jan 02, 2024 10:50Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kifo cha mateka mwengine wa Kipalestina aliyeuliwa kwenye kituo cha mahabusu cha utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuahidi kuupa utawala huo funzo lisilosahaulika kutokana na ukatili wake unaoendelea kuwafanyia Wapalestina.
-
Yemen: Marekani na Uingereza zitalipa gharama kubwa kwa kushambulia jeshi letu la wanamaji
Jan 02, 2024 08:07Maafisa wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen wametoa mjibizo kwa shambulio la kijeshi la Marekani na kutangaza kwamba nchi hiyo na Uingereza zitalipa gharama kubwa kwa shambulio hilo la kijeshi zilizofanya dhidi ya Jeshi la Wanamaji la Yemen.
-
Vita vya Gaza vyazuia wanafunzi elfu 600 wa Kipalestina kupata elimu
Jan 02, 2024 04:05Mamlaka ya Palestina imetangaza kwamba kuendelea mapigano huko Gaza, kutazuia zaidi ya wanafunzi 600,000 wa Kipalestina kupata elimu.
-
Hasara waliyopata Wazayuni katika siku nne zilizopita
Jan 02, 2024 03:54Abu Ubeidah, Msemaji wa Brigedi ya al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas alitangaza Jumatatu usiku kwamba wapiganaji wa kundi hilo wameharibu magari 71 ya kijeshi ya Israel na kuwaangamiza wanajeshi wake 16 katika muda wa siku nne zilizopita.
-
Jihadul Islami: Pendekezo la Israel limefichua lengo la vita dhidi ya Gaza
Jan 02, 2024 03:33Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imelaani vikali mpango wa Israel wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu mamilioni ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka katika nchi nyingine na kusisitiza kuwa, pendekezo hilo limeweka bayana kuwa utawala huo haramu unaendeleza mauaji ya kimbari katika eneo hilo la pwani lililozingirwa.