-
Kufikichwa wanajeshi sita wa Kizayuni ndani ya saa 24 zilizopita
Dec 27, 2023 04:40Jumanne ya jana, jeshi la Israel lilikiri kuangamizwa askari jeshi wake sita katika saa 24 zilizopita.
-
Hamas: Mikono ya serikali ya Marekani imejaa damu ya watoto wa Gaza
Dec 27, 2023 04:32Osama Hamdan, Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, serikali ya Marekani inazungumzia kuokoa maisha ya raia wa Gaza na wakati huo huo kuupa silaha utawala wa Kizayuni. Amesema: Mikono ya serikali ya Marekani imejaa damu ya watoto wa Gaza.
-
Kuongezeka mashinikizo ya familia za mateka wa Israel dhidi ya Netanyahu
Dec 27, 2023 04:18Kutokana na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, kushindwa kuwakomboa mateka wa Kizayuni kutoka mikononi mwa wapiganaji wa Hamas, mashinikizo ya ndani dhidi ya waziri mkuu huyo wa utawala ghasibu yameongezeka.
-
Jihadul Islami yaiambia Israel: Subirini jibu letu kwa mauaji ya mshauri wa IRGC
Dec 26, 2023 23:24Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina sanjari na kulaani mauaji ya Kamanda Sayyid Razi Mousavi, aliyekuwa mshauri wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni unapasa kusubiri jibu kali na zito kwa kitendo chake hicho cha kioga.
-
Israel yashambulia makao makuu ya Hilali Nyekundu Gaza
Dec 26, 2023 23:23Vikosi vya jeshi katili la utawala haramu wa Israel vimeshambulia kwa mabomu makao makuu ya Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Baghdad: Mashambulizi ya US yamekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq
Dec 26, 2023 23:23Serikali ya Baghdad imelaani vikali mashambulizi dhidi ya kambi tatu za Harakati ya Kataib Hizbullah nchini Iraq yaliyofanywa na vikosi vamizi vya Marekani kwa amri ya Rais Joe Biden na kueleza kuwa, hujuma hizo hazikubaliki na zimekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq.
-
Mpango wa amani wa Yemen kusainiwa mwezi ujao nchini Saudia
Dec 26, 2023 23:23Mpango wa amani wa Yemen unatazamiwa kusainiwa mwanzoni mwa mwezi ujao wa Januari, 2024 nchini Saudi Arabia.
-
Ndege za kivita za Marekani zashambulia makao makuu ya vikosi vya Iraq katika mkoa wa Babel
Dec 26, 2023 08:18Shirika la habari la Farsi limeripoti kuwa, vikosi vamizi vya Marekani leo asubuhi vimekiuka mamlaka ya kujitawala Iraq na kushambulia makao makuu kadhaa ya wapiganaji wa harakati ya Al Hashd al Shaabi huko katikati ya mkoa wa Babel, kusini mwa Baghdad na kujeruhi askari 18 wa Iraq.
-
Ujumbe wa kuendelea maandamano ya wananchi wa Uturuki dhidi ya Israel
Dec 26, 2023 04:02Licha za siasa za kundumakuwili za serikali ya Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuhusu masuala ya Palestina, wananchi wa nchi hiyo bado wanaendelea na maandamano yao ya kihamasa dhidi ya Israeli.
-
Makumi ya wanajeshi wa Kizayuni waangamizwa na kujeruhiwa kaskazini mwa Gaza
Dec 26, 2023 03:09Wanajeshi 40 wa Kizayuni wameangamizwa au kujeruhiwa katika operesheni iliyotekelezwa jana Jumatatu na Brigedi za Izzuddinul Qassam tawi la kijeshi la Hamas huko Jabalia, kaskazini mwa Ghaza.