-
Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake
Nov 30, 2023 03:53Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika ikiwemo Senegal katika nyuga mbalimbali.
-
Ghana ni kituo kinachoongoza kwa bidhaa za Iran zinazouzwa barani Afrika
Nov 26, 2023 02:24Msemaji wa Kamisheni ya Ustawi wa Biashara ya Chama cha Viwanda, Madini na Biashara cha Iran ametangaza kuwa, Ghana ni kituo cha kwanza kinachoongoza kwa bidhaa za Iran zinazopelekwa barani Afrika.
-
Rais Raisi: Hakuna matumaini tena kwa Baraza la Usalama la UN kutekeleza jukumu la kulinda amani ya dunia
Oct 23, 2023 03:02Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini kuwa, hakuna matumaini tena kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutekeleza jukumu lake la kulinda amani ya dunia.
-
Amir Abdollahian: Walimwengu wanashuhudia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza
Oct 22, 2023 15:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mkutano wake na waandishi wa habari pamoja na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini kwamba: Hii leo dunia inashuhudia jinai zinazofanywa na utawala wa kibaguzi na muuaji wa watoto wachanga dhidi ya watu wa Gaza.
-
Iran na Tunisia zafanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia wananchi wa Ghaza
Oct 19, 2023 06:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Tunisia mjini Jeddah, Saudi Arabia na pande mbili zimejadiliana njia za kuwasaidia wananchi wa Ghaza na kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Kiongozi Muadhamu aonana na Sheikh Zakzaky, asema Palestina ni dhihirisho la nguvu za Uislamu
Oct 14, 2023 14:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kusisitiza kuwa, Palestina na Ghaza ni dhihirisho la nguvu za Uislamu.
-
Mapokezi makubwa ya Sheikh Ibrahim Zakzaky nchini Iran +VIDEO
Oct 12, 2023 13:38Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria alivyolakiwa na umati mkubwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
Jinsi Sheikh Zakzaky alivyopokewa Iran+VIDEO
Oct 12, 2023 13:35Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano na kulakiwa umati mkubwa wa wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
Iran na Sudan kufungua tena balozi zao baada ya kukamilisha mchakato wa kuhuisha uhusiano
Oct 10, 2023 07:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, karibuni hivi Iran na Sudan zitafungua tena balozi zao baada ya nchi hizo mbili kukamilisha mchakato wa kurejesha uhusiano wa kidipolmasia.
-
Iran yatangaza utayari wa kuimarisha uhusiano wake na Tanzania
Sep 30, 2023 07:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuimarisha uhusiano na maelewano ya pande mbili kati yake na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.