-
Jeshi la Yemen laipiga kwa mizinga na droni meli ya Marekani
Jan 11, 2024 00:39Msemaji rasmi wa Jeshi la Yemen ametangaza kuwa, vikosi vya nchi hiyo vya majeshi ya majini na ya droni (ndege zisizo na rubani) vimefanya operesheni ya pamoja ya kupiga kwa makombora meli ya Marekani katika Bahari ya Sham (Bahari Nyekundu).
-
UNRWA yasema Gaza haikaliki tena kutokana na hujuma ya Israel
Jan 10, 2024 08:33Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) linasema Ukanda wa Gaza sasa ni "mahali pasipoweza kukaliwa na wanadamu" huku Israel ikiendelea na vita vyake vya mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo linaozingirwa la Palestina.
-
Ugaidi, mbinu ya Israeli ya kukwepa fedheha ya kushindwa kijeshi
Jan 10, 2024 07:41Kushindwa Israel kufikia malengo ya kijeshi katika medani ya vita huko Gaza kumeifanya kugeukia mbinu ya kuwaua kigaidi makamanda wa makundi ya muqawama.
-
Abu Ubeidah: Mujahidina wa Al Qassam wamewaangamiza wanajeshi 22 wa Kizayuni Gaza
Jan 10, 2024 02:52Abu Ubeidah, msemaji wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa wapiganaji wa harakati hiyo wamewaangamiza wanajeshi 22 wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Wizara ya Ulinzi ya Marekani: Hatujaweka ratiba yoyote ya kuondoka Iraq
Jan 10, 2024 02:49Patrick Ryder, msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon amesema, nchi hiyo haina mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Iraq.
-
Hamas: Israel imeshindwa kufikia malengo ya vita huko Gaza
Jan 10, 2024 02:02Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema utawala haramu wa Israel umeshindwa kufikia malengo yake yoyote baada ya takriban siku 100 za vita vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Israel imeshindwa kufikia malengo ya vita huko Gaza
Jan 10, 2024 01:08Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema utawala haramu wa Israel umeshindwa kufikia malengo yake yoyote baada ya takriban siku 100 za vita vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Upinzani dhidi ya Netanyahu washadidi kwa kushindwa kwenye vita vya Ghaza
Jan 09, 2024 08:17Matokeo ya uchunguzi wa karibuni kabisa wa maoni yaliyotangazwa leo Jumanne yanaonesha kuwa, upinzani dhidi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, umeongezeka sana kutokana na kufeli katika vita vya Ghaza.
-
Ansarullah: Hizbullah ya Lebanon imeutia nguvu sana muqawama wa Palestina
Jan 09, 2024 08:17Mohammad Abdus Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeutia nguvu sana muqawama wa Palestina hasa kwenye Ukanda wa Ghaza kutokana na kuushughulisha kwa mashambulizi utawala wa Kizayuni katika mipaka ya Lebanon.
-
Kuondoka askari wa utawala wa Kizayuni kaskazini mwa Gaza; matokeo ya kusimama kidete muqawama
Jan 09, 2024 05:29Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limethibitisha habari za kuondoka askari wake kutoka kaskazini mwa Gaza, ambapo kuondoka huko ni kukamilishwa kwa mpango wa makundi ya muqawama wa Palestina wa kulishinda jeshi vamizi.