-
Azma thabiti ya serikali ya Iraq kuondolewa nchini humo wanajeshi wa Marekani
Jan 07, 2024 04:47Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza katika msimamo nadra kabisa juu ya ulazima wa kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani.
-
Nukta 5 za kiuchambuzi katika hotuba ya pili ya Seyyid Hassan Nasrallah mwaka 2024
Jan 07, 2024 03:59Seyyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon tarehe 5 Januri katika hotuba yake ya pili katika mwaka huu mpya wa 2024 amejadili vita vya Gaza, kuuawa shahidi Saleh al-Arouri, kiongozi wa Hamas na jinai ya kigaidi huko Kerman.
-
UNICEF: Watoto katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na hali mbaya sana
Jan 07, 2024 01:01Mfuko wa Watoto waa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, hahli ya watoto katika Uukaanda wa Gaza ni mbaya mno.
-
Daesh; Wakala wa niaba wa Marekani na utawala wa Kizayuni katika eneo
Jan 07, 2024 01:01Kundi la kigaidi la Daesh Alhamisi usiku lilitangaza kuhusika na miripuko ya kigaidi katika mji wa Kerman kusini mashariki mwa Iran huku genge hilo likihesabiwa kuwa kundi lililoasisiwa kwa niaba ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika eneo la Asia Magharibi.
-
Wazayuni wazidi kupapurana; Netanyahu chagua moja!
Jan 06, 2024 04:09Mzozo unazidi kurindima ndani ya baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni huku Benny Gants akimshambulia kwa maneno makali waziri mkuu wa utawala huo katili, Benjamin Netanyahu akimwambia achague moja, imma kuweko kwenye serikali ya muungano au kulinda usalama wa ndani ya Israel.
-
Athari mbaya za kushadidi mvutano katika baraza la mawaziri la vita la utawala wa Israel
Jan 06, 2024 02:50Vyanzo vya habari katika ardhi inayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel) vimeripoti kuwa kikao cha baraza la mawaziri la vita la Benjamin Netanyahu kimetawaliwa na mvutano mkubwa na kwamba kimemalizika kwa mawaziri kurushiana maneno na malumbano makali.
-
Tangu Oktoba 17 vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115
Jan 06, 2024 00:17Afisa mmoja wa Marekani amekiri kuwa katika muda wa siku 81 zilizopita, ngome na vituo vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi vimeshambuliwa mara 115.
-
Israel imeshambulia Gaza kwa tani 65,000 za mabomu, vilipuzi ndani ya siku 89
Jan 05, 2024 23:34Utawala katili wa Israel umefyatua zaidi ya tani 65,000 za makombora na mabomu kwenye Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 7, 2023, na kuua takriban watu 22,438, wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
-
Kukamatwa mtandao wa kijasusi wa Mossad nchini Uturuki
Jan 05, 2024 23:28Ikiwa ni katika juhudi zinazoendelea za kufuatilia, kufichua na kuvunjwa mitandao ya kijasusi ya Israel nchini Uturuki, serikali ya Ankara kwa mara nyingine imetangaza kuwa mtandao wa kijasusi wa Mossad umegunduliwa nchini humo na baadhi ya wanachama wake kukamatwa.
-
Israel yaendeleza mashambulizi yake ya anga na mizinga Ukanda wa Gaza leo Ijumaa
Jan 05, 2024 08:51Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni kwa mare nyingine tena leo Ijumaa zimeyashambulia maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.